Rais wa Marekani amekuwa akisema kwa siku kadhaa kwamba mazungumzo kati ya Marekani na Iran yanaendelea, lakini Iran imekanusha kuendelea kwa hatua hiyo. Na Asha Juma & Mariam Mjahid Chanzo cha picha, ...
Waziri Mkuu wa Japani Takaichi Sanae anasema nchi hiyo inatarajiwa kuanza kutoa mafuta kutoka katika akiba yake ya kitaifa Machi 26. Serikali imeunda jopo la Mawaziri husika kuhusu hali katika eneo la ...
NHK imebaini kuwa idadi ya watoto wa kigeni waliosajiliwa kwenye manispaa za Japani imeongezeka katika zaidi ya nusu ya vitengo vya utawala wa kimaeneo vya Japani tangu 2015. NHK ilitathmini jinsi ...
Wakati vita vya Marekani na Israel dhidi ya Iran vikiendelea, Tehran imeendelea na mashambulizi yake ya makombora dhidi ya nchi za Ghuba ya Uajemi. Siku ya Alhamisi, Machi 19, 2026, baada ya Israeli ...